@UNICEF@unicefchief I know you are in this meeting or rather you have represented! Is there any bold personality who can ask candid questions regarding these deaths below or anything linked to October 2029 Tanzania massacre!?? Otherwise it is all about hypocrisy
GOOD NEWS and BAD NEWS
Good News: Isingekuwa sauti yake halisi, one would have suspected ni AI. Video hii ina ishara njema. Just watch closely!
Bad News: Samia aliyemtoa uhai Angel anajigamba kuhusu kupunguza vifo vya mama na MTOTO. This is a joke, right?
KWANINI RAIS YUPO ETHIOPIA LEO?
Sasa nimekuelewesha sifuri tatu si ndio sasa nakuambia kwanini Rais Samia yuko Ethiopia. Nyie bila kuwaeleweshwa hivi mnadanganywa sana na mibumunda ile;
Ethiopia Kuna mkutano wa tano wa kimataifa wa Afya ya Umma Afrika, unaojulikana kama CPHIA 2026 (Conference on Public Health in Africa).
Mkutano huu unafanyika Addis Ababa kuanzia tarehe 23โ27 Novemba 2026.
Unawakutanisha: Wakuu wa nchi za Afrika.
Mawaziri wa afya, Wataalamu wa afya na watafiti, Viongozi wa taasisi za kimataifa na
Washirika wa maendeleo.
Na Mada kuu ni kujenga mifumo imara ya afya Afrika na kupunguza utegemezi wa nje katika sekta ya afya.
Kwanini Rais Samia?
Rais Samia ni kinara wa Umoja wa Afrika katika kuhamasisha na kusukuma ajenda ya afya ya mama, mtoto mchanga na mtoto.
Na Leo anatarajiwa kuzindua mpango wa miaka mitano wa Afrika wa mwaka 2026โ2030 unaolenga kuboresha afya ya mama na mtoto.
Mpango huu umejengwa katika ajenda ya Sifuri Tatu. Ambayo ni agenda ya Tanzania ambayo ni ya kwake Rais.
#TANZANIA: BAVICHA MSITISHWE, SISI UVCCM TUTAWALINDA - MWENYEKITI UVCCM SONGWE.
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi - CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg. Fatuma Hussein Mnahwate, ameeleza kusikitishwa na kile alichokiita kuwa ni Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaani BAVICHA wanaounga mkono suala la maridhiano kutishwa na baadhi ya viongozi wao wa ngazi ya Taifa.
Kiongozi huyo wa umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Songwe, ametoa kauli hiyo wilayani Songwe wakati akiwa kwenye mwendelezo wa ziara ya Kamati ya utekelezaji inayoendelea Mkoani humo.
"Niwahakikishie vijana wa CHADEMA wote mnaounga mkono nia njema ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuleta maridhiano, mpo salama kwani nchi yetu ni salama na asitokee mtu hasa bwana Heche na genge lake akawatisha, UVCCM tupo hatutakubali muonewe, tutawalinda kwahiyo tembeeni kifua mbele", ameeleza Mwenyekiti huyo wa UVCCM mkoa wa Songwe Fatuma Hussein Mnahwate.
Ikumbukwe kuwa kamati ya utekelezaji ya UVCCM mkoa wa Songwe inaendelea na ziara ya siku 10 ambapo inatembelea miradi ya vijana, kueleza fursa mbalimbali kwa vijana na wananchi pamoja na kuendelea kuimarisha uhai wa jumuiya ya Vijana mkoani Songwe.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ : Jioni ya leo john Heche ameongoza Sekretarieti ya CHADEMA ikiwa na Katibu Mkuu na Manaibu Makatibu Wakuu 2, Makamu Mwenyekiti Zenji na Mkurugenzi wa Sheria (Nshalla), wamekubaliana kuingia kwenye maridhiano, ila inabidi wapate idhini ya Kamati Kuu, kesho kwenye PRESS Heche atatangaza Kamati Kuu ya dharula wajadili mustakabali wao, ila washaamua wataanza mchakato wa maridhiano ili wahakikishe Lissu anatoka. Vita ya Wanaharakati na CHADEMA inanukia soon.
Hakuna atakayefungwa kwa mauaji! waliouawa ni mbwa tu! Kweli ni mbu na mbwa nchi hii! Na hili choko linashabikia! Kumbuka wee choko zenu zzinahesabika wauaji
Hakuna kitu kinawapa matumbo-kuhara wanaharakati na CHADEMA kama Rais Dkt @SuluhuSamia anavyofanya ziara tele duniani na kupokelewa kwa mahaba mazito.
Wafadhili wamefuta misaada, wanawaona waongo.
Tume ya Jaji Lila yaja;wote watafungwa kwa uhaini na ugaidi.
HAKUNA KUDEKEZANAโผ๏ธ
Whenever I read of you Mohamed I see ungratefulness! You who was abducted and the whole country cried for you! You are the one is in "mute" state regarding the same atrocities facing your fellow citizens!! Plain hypocrisy!
An honour to deliver the keynote at the Room to Read Dubai Gala.
Education is more than a social investment. It drives productivity, economic growth and national development.
Congratulations to @RoomtoRead for expanding educational opportunities worldwide.
A nationโs economic future is only as strong as the education of its people.
#RoomToRead #education #philanthropy #mocares
Anaitwa BEN MPORIPORI huyu ndio anahusika na UTEKAJI unaoendeshwa na MAFWELE.
Huyu pia anafanya kazi kama MSAIDIZI WA @ummymwalimu
HUYU ANATUMIKA KUPOTEZA WAKOSOAJI WA SERIKALI.
MKUMBUKENI KWA SURA HUYU KIBAKA.
Story yangu ya KUTEKWA haiwezi kukamilika bila kulitaja jila lake maana X nzima ni mashahidi wa TWEET zake.
Huyu KUMA anaona kama yeye ataishi MILELE hapa chini ya JUA.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
@goodh4rted At that age he is nothing but plainly a vegetable!! Uganda is being led by a person at vegetative stage!! And our moron is comfortable with this stodge!!
ASANTENI KWA MAPOKEZI MOSHI
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga selfie na wananchi wa Bomangโombe, Wilaya ya Hai,Kilimanjaro,waliomsimamisha njiani kumlaki akiwa anaelekea Shule ya Polisi Moshi kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi,11, 20, 2026
Hawa bodaboda ndio CHADEMA aliwaambia kwamba kazi yao ni ya laana,angalia walivyofurahi kumuona Rais wao ambaye amewafutia kodi ya mapato ya Sh 65,000 kwa mwaka, amepunguza ada ya usajili wa pikipiki kutoka Sh 340,000 hadi Sh 170,000, na ada ya leseni kutoka Sh 70,000 hadi Sh 30,000.
Ndiyo maana wameguswa na upendo huo,wakaona isiwe kesi hawawezi kuacha kumuonyesha upendo Rais wao,wanatambua na kuthamini hatua alizozifanya ambazo zimegusa maisha yao na shughuli zao za kila siku.
Hii itakuwa nzuri na isiyo na madhara! Zioredheshwe please na wamiliki wake@ nitafuata haya maagizo kwa uaminifu sana!! BAN products from murderers BAN BAN BAN
Huyu mtoto alijeruhiwa na risasi lakini hakufariki! sasa majambazi mauaji yamemmalizia ili kujilinda na ICC! No way ICC is your final home SSH trust me!!
Unajua, kuna wakati unahisi kabisa kwamba @ChademaTZ2 na viongozi wao wanafanya makusudi kuhamasisha vurugu,ambazo matokeo yake wanayatumia kama faida na fimbo ya kisiasa.
Huwezi kuhamasisha vurugu,halafu ukaja kuilaumu Serikali eti ndiyo imekatisha maisha ya binti,wanaopaswa kulaumiwa hapa ni Lissu, @HecheJohn ,@MariaSTsehai , @mangekimambi na wanaharakati wote, akiwemo John Pambalu, ambaye hivi sasa yuko mikononi mwa vyombo vya sheria kwa makosa hayo hayo yaliyopelekea maisha ya binti huyu kukatizwa.
WATANZANIA WAMUOMBA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUKIFUTIA USAJILI CHADEMA.
Baadhi ya wananchi wamewasilisha ombi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, wakimtaka kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiwemo kukifutia usajili kwa madai ya kukiuka masharti na taratibu zinazosimamia uendeshaji wa vyama vya siasa nchini.