Nakumbuka ilikua ni ilikua ni July 15,2021 , saa 11 jioni...
Rafiki yangu alinishauri ninunue sarafu hii (C98) wakati huo ikiwa na thamani rahisi sana ($0.00000066). Lakini sikuinunua,
Sio kwamba sikua na pesa bali sikuchukulia serious badala yake nilisema nitainunua kesho.
Pengine kosa hili nililolifanya mimi hata wewe umewahi lifanya au bado unalifanya,
Napenda kukujulisha kua cryptocurrency ni future.
Tafuta elimu juu ya hizi sarafu kwa udi na uvumba utakuja kujishukuru baadae.
Mwenye Taarifa Ndiye Mwenye Nguvu!
Tangu zamani mpaka sasa mtu mwenye taarifa ndiye mwenye nguvu.
Tumesoma katika zama za kale kua, aliegundua moto ndiye aliekua na nguvu, maana wengine wote ili wapate moto ilikua lazima wafanye kile anachokitaka yeye.
Leo hii kila nikiingia YouTube , namuangalia yule bwana aliewaambia watu nunue BTC hata ya $1 tu, naumia sana.
Ila hataujachelewa hata sasa tunaweza kuanza na kufanikiwa.