Yanga Imekosa Caf Champions League msimu mmoja tu uliopita... Msimu ujao inarudi tena... Hili ndio TIMU LA Wananchi πͺ
Kuna Jamaa walipoteana Miaka Mitano ππ
Ni wajibu wetu raia kuelimisha raia wenzetu mijini na vijijini kuwa tunahitaji viongozi werevu, wenye msimamo mithili ya Dr Assad bungeni! Kuingiza wabunge wa mipasho wanaofikiri kazi yao ni kuilinda serikali na si kuisimamia ni hasara kubwa #ChangeTanzania
M/kiti wa TZ-SUB (Tanzania Students Union in Beijing) Ndugu. Kulwa Gamba akisalimiana na wana TZ-SUB kutoka Capital University of Economics and Business π¨π³. #CulturalFestival
Tulitembelewa na wageni kutoka nchi mbalimbali ndani ya banda letu wakiwa na shauku kujua yaliyo kwenye banda letu.#CulturalFestival#CUEB π¨π³ @foreigntanzania @babbiekabae@MagufuliJP
CAPITAL UNIVERSITY OF ECONOMICS AND BUSINESS. #CulturalFestival#Tanzania x #China @UrithiTanzania π₯π₯π₯π₯π₯. Vyakula na nyimbo za asili kutoka Tanzania πΉπΏ. @UtaliiTz @foreigntanzania
Utanzania wetu Ndio asili yetu. Safari hii ndani ya CAPITAL UNIVERSITY OF ECONOMICS AND BUSINESS π¨π³. Tunaendelea kuutangaza utamaduni wetu. #KaribuTanzania@UtaliiTz @TZEmbassy
Tanzania πΉπΏ representatives in the Fifth China π¨π³ Beijing International Fair For Trade in Services. 2018 Africa Thematic Day Forum . #InvestTanzania@UtaliiTz@TTBTanzania @TZEmbassy