@TheCitizenTZ@zittokabwe@MwananchiNews Mbona Nguvu nyingi unatumika mitandaoni... Fuateni Sheria Nendeni Mahakamani... Watanzani Tupo Busy nakuijenga inchi...
Asante Tanzania kwa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama cha Mapinduzi #CCM Dkt John Pombe Joseph MAGUFULI kwa idadi ya kura 12,516,252.
#AsanteniTanzania#UchaguaMkuuTanzania2020#Tanzania πΉπΏ