@SuphianJuma Ukweli ni kwamba mnafanya mazuri yapo lakini kinachoharibu mazuri mnayoyafanya ni utawala wa mabavu , kufunga wapinzani , kesi za visingizio mnasahau kama Kuna MUNGU , BILA AIBU MNAMSINGIZIA MBOWE , POLISI SAIZI WOTE WAKO CCM KILA KITU NDIYO , KUNA HUKUMU YA MU
@IAMartin_ Kiini macho, dereva anyang'anye bunduki kwa policeππ ila RPC bwana Mungu anakuona!mnajua kutengeneza kesi nyie duuh.lakin mwisho was mambo yote umekaribia sana!!
@SuphianJuma Ni kufunga watu wa upinzani eeeh, ni kuwapa kesi wapinzani eeeh,
Eti hiyo ndo demokrasia ya ccm, laaah hasha kumbekeni kuna Mungu , wakati mnadhani nyie ni bora kuliko mliowafunga Mungu anasema hatavumilia, apandacho MTU ndicho atakachokivuna.
Jitafakari damu za watu zitadaiwa
@SuphianJuma Utahukumiwa sawasawa na matendo yako, Mungu ameweka bayana usiseme hukujua, huo ni unafiki wa siasa, watu wameuawa kwenye uchaguzi 2020 na nyie ndo mlikuwa msatari wa Mbele, Leo unasema cdm hakuna demokrasia , hivi kumbe demokrasia ni kumwaga damu eeeh niku pora
@SuluhuSamia@venusnyota Sio kweli Tz siyo ile ile, hebu kaa na viongozi wenzio muondoe tofauti zenu, acheni siasa za visasi ya Mungu in mengi hatujui ya kesho.mwachie mbowe unachofanya Mungu anaona na utatolea hesabu
@HildaNewton21 Na amehangaika sana kwakweli , Leo kaamua kujitoa mhanga, mama kidogo atoe oda ya kumrudisha tz aje ajibu tuhuma zake , Akamuonea huruma
@kigogo2014 Wewe Shabikia , kuwa ndumila kuwili MUNGU HADHIHAKIWI!MWISHO WA MAMBO YOTE UMEKARIBIA, UNAFIKI UNA MWISHO WAKE LAKIN HATA HIVYO MUNGU AKUSAMEHE SANA