HECHE; nchimbi anasema Rais ndio anayepitisha kila kitu na Bila yeye kuamua hata baraza la Mawaziri haliwezi kufanya chochote na bunge hata mswada hauwezi kupita
Magaidi LISSU anasema peleka Moto peleka Moto 🔥🔥🔥🔥
Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 232.6, hivyo tumebakiza TSh. Milioni 1.4 pekee kufikisha Milioni 234.
Tuvuke hatua hii muhimu, kisha tuanze safari ya kukusanya Milioni 100 zilizobaki ili kutimiza lengo letu la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#WinoMzito | Mjadala mzito umeibuka mitandaoni kufuatia kauli mbili zinazokinzana zilizotolewa ndani ya saa 24 na viongozi wakuu wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchakato wa Katiba Mpya.
#WinoMzito | #EastAfricaRadio | #SupaBreakfast
Leo tarehe 27 Julai 2026 nikiongea na Mteja wangu WENDY WILLIAM ISHENGOMA katika Mahakama Kuu ya Tanzania-Divisheni ya RUSHWA na UHUJUMU UCHUMI, Dar es Salaam, kuhusu USHAHIDI wa ASP. DEMOCRACY HUSSEIN ambaye alikuwa ni MKAMATAJI, MPEKUZI na MTUNZA VIELEZO 👇😂😂
Asanteni Watanzania kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 238.2, na sasa tumebakiza TSh. Milioni 95.8 pekee kufikia lengo letu la TSh. Milioni 334 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ