@joeselasini Wewe umaarufu wako unashuka umeshindwa kuongoza chama sasa unaongozwa lakini una akili kweli unategemea kugombea ubunge kupitia chadema ukishinda unakuwa chawa wa chama kileee
@godbless_lema Mwamba una wasi wasi na nini kama wewe una tatizo ss tunaejoy uwepo wao wewe unaishi hotel ya nyota 5 unakula vizuri tuache basi polisi watu watulinde we kaa nyota 5 masaki
@joeselasini@HildaNewton21@SuluhuSamia Nguchirooo tulia nyinyi ndio mnaongoza kwa kutukana yule mwanasheria wenu alisema matusi makubwa tu mlikaa kimyaaa wewe ni ndumikuwiliii
@earadiofm@exaudwamtei Kwa kauli hii mwanaharakati ana nguvu kuliko mwanachama wanatoa maelekezo na viongozi mnabaliki mwanachama lema alimbagaza kisabo ata onyo akupewa
@joeselasini Mwamba ww kirusi ndio ulioiua nccr mageuzi mbatia ajulikani alipo nilikutana nae siku moja Aga Khan hospital nikakumbuka na siku anatoka mahakama ya rufaa kwenye cafe fulani nikakumbuka pia hongera sana