@nhiftz@bima_afyatz@wizara_afyatz@TZMsemajiMkuu NHIF Mwanza nimeomba bima kuanzia June 2023 mpaka leo wanasema mashine ya kuprint hawana wameomba makao makuu hamjawaletea! Shida ni mashine ama kuna shida nyingne? Mnasua sua sana pale mwanza wanatoa majibu rahisi kwenye maswali magumu
@babalao__ Unyevu na vumbi huleta hyo ishu aidha charger yake ina unyev na vumbi ama hilo tundu la simu ndo ishu apeleke kwa fund wakaushe ama abadili USB, Samsung ndo wana hizo pigo