@Aizandec17@Adventure_36 Ratco hana mpinzan anawaamin abiria wake na Abiria wanamuamin
Utapiga simu ofsn safr ya kesho hata mia hujatoa asbh ya kesho unakumbushwa nusu saa kabla bas kuondoka hakuna kampun inaweza hyoo hbr
@Mbeya_Buses@Adventure_36 Tanga watu hawatak shida nani aache kulala kisa safr ya masaa 3 hyo time table ndio yenyewe kbsaa watu wanatoka asbh jion wanarud hujui kauli mbiu ya wajaleo waondoka leo
@JamiiForums Linda TV yako dhidi ya vibaka na wezi .
Vibration sensor Alarm ni kifaa ambacho kitalinda Tv yako.
lala usingizi mnono ukiwa umejihakikishia usalama wa mali zako..
Bei ni Tsh 70,000 Tu .
Tupo makumbusho.ย
Wateja wa dar unaletewa ulipo
Piga simu sasa๐#0623-137-099
๐จ Miezi iliyopita niliwapa taarifa kuwa kwa sasa Whatsapp wameruhusu kutumia account zaidi ya moja kwenye Whatsapp.
Watu walikuwa wananiuliza
Unawezaje?
Leo nitakufundisha namna ya Ku-add, number nyingine ya Whatsapp kwenye simu yako Easy sana!!