@Moondetz@Benji_Fernandes Nyie si ndio ambao mnasema "Mambo ya siasa hayanihusu". Sasa hapa unalalamika ukiwa kama nani? ๐ Hebu usiingilie mambo ya siasa.
@comrade47869@lifeofmshaba Kwa mfano mtu kakunyang'anya simu yako, ukaenda kuidai akakupiga ukaenda kuchukua sapoti ya wanao kitaa mkamrudia kumdunda, hiyo ni unyanyasaji au kudai haki yako na kuchukua mali yako, nauliza tu swali la kizushi?
@senn03 I think if u have a meeting with workshop pro, and put those parts aside, you can be able to tell the ones to replace and ones to put back. Starting with the screen.