Kama Congo atafanikiwa kumfunga England, hata kwa kumuotea tu!
Africa tutakuwa tumeSet standard moja kubwa sana na dunia itaotolea macho Africa.
Kumfunga Muingereza inapotoka EPL ni umeifunga taasisi kubwa ya soka duniani!!
Wapo viongozi wengi sana wa CCM wanaotaka maandamano ya 7/7 yafanyike,
pengine kuliko hata viongozi wa upinzani!
Hii inaweza kuwa lugha ngumu kueleweka, lakini uhalisia ndio huo hali ya huko ndani ni ya moto kuliko kawaida!
Mimi nitakuwepo tarehe 7/7! ✊🏽
Nimekufahamu kupitia Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn, ulikuwa mtu mwenye upendo mwingi, ulikuwa Baba na rafiki wa kila mtu ambae alibahatika kukufahamu.
Kifo chako kimetuachia simanzi kubwa sana ndani ya mioyo yetu.😭😭😭😭
Pole nyingi kwa familia kwa kumpoteza Baba yenu lakin pia pole kwa Mhe. Heche kwa kumpoteza Dereva wako.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana na mwanga wa Milele Umwangazie Apumzike kwa Amani Mzee wetu Suez Dani Maradufu.🙏💔
‼️DEREVA WA MHE. HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU DAMU ZIMETAPAKAA SAKAFUNI.‼️
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma.
Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa.
Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
Cabo Verde’s total population is less than 600,000. Even getting here is a huge win.
Spain - one of the world’s biggest teams - against the third smallest nation to ever qualify
Mahakama Kuu ya Kenya imeiamuru Seneti ya nchi hiyo kumlipa aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, fidia ya KSh milioni 50 [TZS bilioni 1] kwa kukiuka haki zake za kikatiba wakati wa mchakato wa kumwondoa madarakani, Oktoba 2024.
Mahakama imeeleza kuwa haki ya Gachagua ya kusikilizwa ilikiukwa baada ya Seneti kukataa kuahirisha vikao vya kesi hiyo licha ya kutokuwepo kwake wakati wa mwenendo wa mashauri hayo.
Leo tarehe 6 Juni 2026 nimeamua KULIPA GHARAMA ZA MATIBU za kijana RAHIM OMARY ISSA NGAIZIGA ambaye kutokana na UKOSEFU WA FEDHA kiasi cha TZS 800,000 ALIKOSA MATIBABU katika Taasisi Mifupa (MOI) ya Hospitali ya Taifa MUHIMBILI. Hii ndiyo “KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE”.😂😂
Jana usiku wakati nashuka kwenye dala nilimkanyaga mguu Mdada ki bahati mbaya,wakati wa kulipia nauli nikawa na vi chenchi nikasema na kulipia nauli sababu nimekukanyaga rafiki yake akasema sasa unamlipiaje mmoja nikawalipia wote kiroho safi, baadaye akasema kama nakuonaga Twitter kiukweli nilifurahi binafsi nikikutanaga na mtu wa Twitter Accidentally huwa na feel kama nimekutana na ndugu yangu.😂👊🏾
Ukibahatika kukutana na Mimi kwenye Daladala mwambie konda nauli yako nalipia Mimi.🫡