Go to ChatGPT and use this prompt: Create a caricature of me and my job based on everything you know about me.
Come back and share your photo: I'll go first.😂
Hakuna biashara inalipa kama kuwa mtu kati (Dalali), lakini wabongo wana mentality kuwa madalali ni matapeli 😂.
Lakini hata kampuni kama Amazon, Alibaba, AliExpress wao hawana maduka ila ni platform ya kumuunganisha mteja & Muuzaji.
Bolt, uber Hawana pikipiki ila wanamuunganisha mteja & dereva.
Mawinga wa kariakoo hawana maduka lakini wanafanya biashara na kupata faida kwa kumuunganisha mteja & muuzaji(mwenye duka).
Hata kwenye kilimo Kuna Hawa madalali wa mazao, wao ndo hupanga thamani ya zao kwa msimu husika, ananunua kwa mkulima na anauza kwa mteja
Kwenye biashara lazima ujue kwanza kuji position, unataka uwe kwenye angle gani? Unataka kuwa supplier au mtu kati? Unaweza kuwa na duka vizuri tu na Bado ukawa winga vilevile. Duka inakuwa ni platform ya kukupa credibility.
Tutoke kwenye mentality kwamba mawinga au madalali wa vitu ni matapeli, ingawa kunao matapeli, lakini tu hakikisha unanunua bidhaa Yako kwa mtu ambaye una uhakika naye.