@TRATanzania Wamiliki wengi wa nyumba za kawaida mmewaweka kama wamiliki wa gorofa na kodi mmepiga ni laki na ishirini badala ya elfu kumi na mbili. Ni siku ya pili sasa watu mnawalaza giza, mngeachia system ya luku kwanza mtafute njia mbadala ya kuhakiki majengo mnawatesa wananchi