@mshambuliaji Unahanyahanya sasa sisi tukopamoja na tamko la maaskofu kwamba mkataba hatuutaki tunataka bandari yetu ibaki kama ilivyo wewe baki na njaa yako
@MahonaNjile7@HKigwangalla Ingekuwa mikataba inavunjwa kirahisi hivyo wachezaji kama uhuni aliofanya fei basi baadhi vilabu vingekuwa masikini huko ulaya!!
@Kingunge5@ericshigongo Hivyo vitabu ungejua historia yake wala usingemsifia mana najua hawa waandishi nyuma yao huwa kuna mtunzi mhariri nk. Kwahyo wap kazi yao ni kuweka tu majina yao kwenye kava tu