@bbcswahili Mimi kama Mimi naona chama cha #Actwazalendo kimeenda ukingoni maana niwajinga viongozi wanaotuaminisha ukweli halafu wanakuwa wasaliti watabaki wale wliokula nao ela wenyewe
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala. Ada ya uzoaji taka. ELFU AROBAINI kwa mwezi. Tuliahidi, tunatekeleza. Mitano tena ya ushindi wa kishindo. Kazi iendeleee.
Mzee Mdee kapoteza muelekeo simuelewi anachoongea! Huyu anazungumzia chama gani ? Halafu mamako asikudanganye na mambo ya Zaburi 35. Wewe huna moral ya ku quote mambo ya Zaburi!
Halafu we @halimamdee malaya uache kuni mention kwenye mambo yako mbwa wewe
@SimbaSCTanzania Kwahiyo bodi ya simba kukaa kote na kualibu bosho za clab mnajadili ujinaga kwanini hamkusema hiyo bodi nikwaajili ya magufuli sio #simbaSctanzania takataka nyie msituletee uchama kwenye club mxx
Huyu mjinga anasema haya wakati anajua Lissu alipigwa risasi mpaka leo serikali yao haijasema chochote. Mawazo ameuwawa, Ben Saanane amepotezwa, Azory hayupo, Kanguye hajulikani alipo. Alafu anasema tunaigiza mjinga mkubwa huyu.