Case no.24447/2025 ya jinai inayowakabili Chief Kalumuna na wenzake,akiwemo Bazil Wazil katibu wa CDM WILAYA YA KYERWA ilipangwa kuendelea leo katika @mahakama ya wilaya Bukoba,imetajwa na kuahilishwa mpaka tarehe 16Jan 2025.
Katibu wa CHADEMA wilaya ya Kyerwa amechukuliwa kwa nguvu na watu wasiyojulikana na kumuingiza kwenye gari mchana WA Leo.
#Frree Bazil Waziri
#Free Chief Kalumuna
#Free Humphrey Polepole
Ikiwa shambulio la Padre Dkt Charles Kitime ni la kweli,hii itakuwa ishara nyingine ya uwoga mwingine wa kusikiliza maoni kinzani!
Sina uhakika kama @TanzaniaPolice wanaweza kuchunguza na kuleta report,ninachojua wanapanda mbegu mbaya sana,athari zake zitaonekana siku Moja!
Hii ndo hali niliyokutana nayo nilipoenda kufanya issue zangu huko!
Pole sana wafanya Biashara!
Naamini haya mambo yanaweza kuepukika kama tukiamua Kwa Dhati kama taifa
#Free Soka
#Free Mlay
#Free Kipanya,shade no more Innocent blood
#PanAfricanParliament kamati inajadili juu ya Haki ya mtu kuwa raia wa nchi(the right to nationality as opposed to stateless)
Zipo sababu nyingi za watu kukosa utaifa,zote za kibinadamu.
Hapa wote tunajua inakuwaje!
Je wewe umeshapata NIDA YAKO?
#Right to nationality
Hii ni moja ya picha ya majeruhi wa Risasi za moto walizopigwa wananchi wa Murongo,jimbo la kwa tuhuma na hisia kuwa wanavusha Kahawa kwenda Uganda,makumi ya raia wamelemazwa viungo na kuuawa kwa Risasi kwa kubambikiwa hizo tuhuma!
Hii ndo haki Jinai?
Ni habari mbaya za kisikitisha kumpoteza kijana wa umri huu,kama sehemu ya jumuia ya wakimbiaji,nimeumia sana, sisi tunapenda miamba, ulikuwa mmoja wao.
Rest in peace mwamba
Tangulia baba,tangulia!wote tu mavumbi na mavumbini tutarejea.
Aksante sana,you were there for me in 2015 post Election
Siwezi kukusahau,ntakuombea Daima.
Listen to Fadeco Community Radio 100.8 FM from Kayanga live on Radio Garden: https://t.co/LuAxZKVDUj
Anatropia Kyerwa cup 2023 streaming live from Kyerwa _Kaisho
Let's support youth sports
Continuations of a new beginning?
Africa has a number of models to learn from,European,American or An Asian one to develop.
African for African solutions (AfCFTA)