Rais Brian Mundubile na familia yake wamechukuliwa na Wanajeshi kutoka kwenye makazi yake huko Kabulonga kando ya barabara ya kudu hadi eneo lisilojulikana. Zaidi ya Wanajeshi 40 na wanausalama wengine walikuwepo na kumfanyia ukatili Rais Mundubile
African Kazi Sana
Solidarity with my brother Advocate Peter Madeleka @PMadeleka.
No Advocate should face persecution while performing their professional duties.
We refuse to be bullied.
Free Adv Peter Madeleka Now.
CJ Masaju hajawahi kemea raia kupigwa na polisi wakiwa mahakamani. Lakini anakerwa Mawakili kuzungumza na media baada ya kesi hadi ametoa Katazo. Yani CJ anaumiaje Wakili kufanya media/public briefing? Inamhusu nini CJ?
@Kiganyi_ Lile Shamba sina Uhakika kama limeanza 1946..
Lile Shamba limeanza hii miaka ya karibuni na kulikuwa na Shule ya Sekondari Jirani ameichukua.
Ila kuna Uwekezaji wa Maana sana pale.