#DearNyerere hizi hotuba zako sikuzi ITV waliacha kuziweka baada ya Taarifa ya habari.
Kuna mtu anaitwa GIRISHONI MSIGWA huyu aliwaambia ITV waache kuziweka hotuba zako maana zilikuwa zinaonekana za kichochezi.
Kupost hotuba zako saizi inaonekana umechoka kuishi na unakaribisha KUTEKWA NA KUPOTEZWA.
#TUTAKUWEPO🫵😎
I hope tumejifunza kitu leo kwenye hii issue ya Miss Grand.
Mmefanyishwa kampeni, Mwisho wa siku kampeni inatumika kumsafisha muuaji wa Watanganyika…….
Tunapowaambia hawa watu wanatumika na wauaji kuwatoa kwenye focus muwe mnaelewa……..
Msikubali kutumika kama condom
Mwezi huu ni mwezi wa maombolezo, watanzania wenzetu waliuwawa kama wanyama wa porini wakipigania haki, kama ambavyo tunawaenzi mashujaa wengine duniani na mashujaa wetu tutawaenzi Tarehe 29.10.2026.
ORODHA YA UWAWAJIBIKAJI
Orodha ya watu wanaotajwa kuhusishwa na mauaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi wa mwaka jana, pamoja na wale wanaotuhumiwa kuhusika katika vitendo hivyo vinavyoendelea.
LIST OF ACCOUNTABILITY A list of individuals alleged to have been involved in killings and serious human rights violations during last year’s election, including those accused of continuing to be involved in such abuses.
@SuluhuSamia@ikulumawasliano@amnesty@hr@UN_HRC@UN@UNHumanRights@Europarl_EN@commonwealthsec@IPUparliament@UMBorgerservice