Jiunge nasi kusoma Lina Ubani. Kitabu ambacho tunaweza kukiita "classic" katika fasihi yetu ya Kiswahili. Tunayo bahati ya kuwa mwandishi wa kitabu Bi. Penina Muhando (Mlama) atakuwepo katika uchambuzi
Jisajili: https://t.co/VNm2MFbETm
#UmbuNiDada
Jiunge nasi kusoma vitabu vya wanawake Watanzania.
Bei? - Bure
Nani? - Kila mtu anakaribishwa
Kivipi? - Kila mwezi kuna kiunganishi (Link) ambayo unaweza kuifuata na kujisajili.
Halafu? - Nunua kitabu, soma, tayari kuja kujadiliana na wengine siku ya kukutana
Ni hivyo tu!
Tulikuwa na muda mzuri kusoma na kujadili "Tusiogope", tawasifu iliyoandikwa na Bi. Asia Kasuwi Kapande. Ni kitabu kilichoseheni simulizi nyingi zinazotoa taswira ya historia ya nchi yetu kupitia maisha ya mwanamke mmoja. Ahsante kwa kila aliyeweza kufika.
#UmbuNiDada
Karibu UMBU Klabu Vitabu
Jahazi litaongozwa na Bi. Fausta Musokwa - Meneja Programu wa @ImsTanzania, mwandishi na mpenzi wa masimulizi.
π Shahidi wa Nina Mvungi na Hadithi Zingine
βοΈ Esther Karin Mngodo
π Harakati za Enzi, Mbezi Beach
π 3PM
Jisajili: https://t.co/8P3o8f4lq7
π’ Habari wapenzi wa vitabu π₯³π
Tunapenda kuwakaribisha kwenye UMBU KLABU VITABU
Klabu hii imefungua milango kwa wanaume na wanawake, wasomaji wanaopenda fasihi ya Kiswahili kukutana na kusoma kazi za wanawake Watanzania.
1
Tunayo furaha kuwaletea uzinduzi wa kitabu cha mkusanyiko wa hadithi fupi, Shahidi wa Nina Mvungi na Hadithi Zingine kilichoandikwa na Bi. @Es_Taa
π Oktoba 10, 2025
π House of Bread, Zamani King Solomon Hall, Mkabala na Best Bite
RSVP: https://t.co/2kRkuDcY2n
#UmbuNiDada
Tunayo furaha kuwaletea uzinduzi wa kitabu cha mkusanyiko wa hadithi fupi, Shahidi wa Nina Mvungi na Hadithi Zingine kilichoandikwa na Bi. @Es_Taa
π Oktoba 10, 2025
π House of Bread, Zamani King Solomon Hall, Mkabala na Best Bite
RSVP: https://t.co/2kRkuDcY2n
#UmbuNiDada
Tunayo furaha ya kurudi tena na #UmbuPodcast
Mazungumzo haya yanaangazia kazi za wanawake katika fasihi ya Kiswahili.
Bi. Anitha Masika aliye nyuma ya @EliteBookstore atakuwa mgeni wetu katika kipindi kijacho. Usikae mbali, mambo mazuri yanakuja punde.
#UmbuNiDada π₯³
Hodi hodi twaingia
Twita kuwasalimia π₯³
Hivi karibuni, tulishiriki uzinduzi wa kitabu cha rafiki yetu Bi. @dr_ida + Mama yake Bi. @HamdaniSalha "Salama Binti Rubeya: Simulizi kutoka Mwambao wa Bahari ya Hindi". Pongezi kwao pamoja na wachapishaji @EliteBookstore#UmbuNiDada
Blessed Sunday to you.
I've got some exciting news to share π₯°
On Saturday, February 15, 2025, I'll be launching my first book in the #JuaNaUa series at the PZG PR Studios, Plot 50, Msasani Road, Oysterbay (The Drum).
Please join us and bring your babies as Young Engineers shall conduct fun activities to ensure a Saturday well spent, in good company and full of light bulb moments.
To RSVP, send me a message and let me know if your child or children shall be tagging along. Can't wait to connect with you! π
Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika hivi leo imewatangazia washiriki kuwasilisha miswada yao kwa ajili ya shindano la mwaka huu wa 2024. Uwasilishaji wa miswada kwa mashindano ya mwaka huu unaanza leo na kumalizika tarehe 30 Novemba, 2024.
If thereβs a group of people that are the true north stars β¨ of this nation, it is the children of Tanzania. πΉπΏ
Loved π₯° conversing with @kaimollel & her two stars β¨ βοΈ
Grazie and may #JuaNaUa elucidate further the minds of the bright & beautiful stars bestowed to you. π€
Kuelekea Siku ya Kimataifa ya Kiswahili Duniani, mwezi huu tunasoma kitabu cha mashairi 'Jinsi ya Kurudi Nyumbani' kilichoandikwa na Esther Karin Mngodo. (@Es_Taa )
Tusherehekee Kiswahili kwa kusoma, kuandika, kusikiliza, na kuitukuza lugha yetu adhimu
#onastories#kiswahili