Wakumbukeni hao waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; na hao wanaodhulumiwa, kwa vile ninyi nanyi mlivyo katika mwili.
Waraka kwa Waebrania 13:3
@Pipes2000Pipes@HecheJohn@SuluhuSamia Huku hakuna hongo ya vyeo wala kupelekana gerezani wala kutoana roho kama CCM huku njia za kawaida za kuokoa chama zinafanyika zikishindwa kwa sababu ya tamaa yote yanatokea hayo ila walio upande wa haki hushinda. Ni mjinga pekee anaona wadhalimu wana haki.
@rose_mayemba Unasafirishwa kutoka mwanza hadi dar ukiwa umefungwa pingu tena mtuhumiwa tu. Sasa kama kwenye basi luxury unatembea hadi unatamani ushuke utembee kwa miguu vipi kwenye kaladiga la polisi huu ni unyama sana CCM wanatekeleza
@DanielMhina@KennedyMmari Huu ni kati ya upuuzi upo una promote halafu unaweka barriers kisa upande mwingine watakuwa disadvantaged. Poor Muungano. CCM ni wapumbavu sana
@KennedyMmari Pumbavu kabisa. Wageni million 5 watoke wapi wakati umeongeza cost kwenye destination ambayo siyo popular duniani, tozo ambayo itatumiwa na competitors. Au mnafikiri simba yupo tz pekee. Wameweka ili zbr isiwe disadvantaged na bara. Machawa ni wapumbavu