Waraghabishi ktoka kigoma tukiwa tukiwa kwenye mafunzo ya Dijital.tukiwa kwenye mkoa wa Dodoma Tunashukuru shilika la Oxfam kutupatia Mafunzo. @Kajuli_JSK @billmarwa@OxfamTz @kwanza_tv @PaulKaswezi@ChukuaHatua
Tukiwa na Hakimu wa mahakama ya mwanzo ambae ni mkazi wa #kifura (Emakulata shuli) uku akielezea haki ambazo anasitahili kupata mwanadamu bila kunyanyaswa na kw kutoangalia kabila la mtu , cheo , wara utajiri. #chukuahatua.