Kigoma tunaamini sana,kikao cha waraghabishi Tanzania kilichofanyika #Dodoma, tuliamini sana kuwa serikali ndiyo yenye mradi, japo unasimamiwa na @OxfamTz tuombe yaliyoahidiwa kwenye kikao hiki, yatekelezwe tunachangamoto nyingi, sana.@SuluhuSamia@majaliwa_kassim#chukuaHatua
Huli ni tatizo kubwa kabisa maana inatufanya sisi wa hali ya chini kutopata nafasi ya kuuza chochoye sokoni maana mara kwa mara tunafukuzwa iksa hatuna kitambulisho hicho
Tukiwa na uongozi wa mtaa wa #Biturana na uongozi wa shirika la #oxfam baada ya kufanya mahojiano ya tadhimini ya mradi huu wa utawala bora na uwajibikaji kwa kutumia digital. Tunaomba shirika liendele kutusapoti kwny jamii yetu #Chukuahatua@OxfamTz@JamiiForums@billmarwa
Polisi wakitaarifiwa kuwa kuna majambazi wamevamia sehemu flani na bado wapo polisi hawaji kwa wakati ila wakitaarifiwa juu ha wezi wa kawaida huja haraka ni kwa nini?. @JansonJesca mraghabishi kutoka kijiji cha #Biturana. #ChukuaHatua#DijitaliKwaMaendeleo#Kibondo
Lengo kubwa la mradi wa kuwezesha utawala bora na uwajibikaji #Chukuahatua ni kujenga uelewa wa wananchi juu ya matatizo yaliyo katika jamii zao na kushiriki ipasavyo katika utatuzi. @Kajuli_JSK Afsa mradi kutoka OXFAM KIBONDO.
Unapokuwa na mwenzako au rafiki yako maeneo magumu mkavamiwa ila mwenzako akauwawa usimguse ili kuepusha suala la kuenekana na wewe umehusika. Toa taarifa polisi kwa haraka ili polisi wafanye kazi kwa nafasi yao. John Msuha (afisa wa polisi) #Kibondo. #ChukuaHatua
Wageni kutoka @SWISSAID walipotembelea ofisini kwetu mapema asubuhi ya leo na kubadilishana mawazo kuhusu Mradi wa Duka ambalo litakuwa linauza bidhaa za kilimo hai.
#TokomezaUmasikiniMtwara
Jeshi la @tanpol endapo watashilikiana na wananchi na tumai uharifu utaisha kabisa, tuombe mwananchi atoe taarifa endapo umepata mgeni, au umeona mgeni mahali unapo ishi, #ChukuaHatua kufichua uhalifu ndani ya #kibondo na mkoa wa #kigoma
(Police Jonh msuha)
"Nawapa zawadi ndogo kwa niaba ya Watanzania, nawapa zawadi ndogo nyinyi Wachezaji wa Taifa Stars na Mwakinyo tutawapatia Viwanja vya kujenga nyumba" Rais Magufuli
#MillardAyoUPDATES
Ewe mzazi uliyeajiliwa serikalin au kwenye taasisi, unayo haki ya kupata likizo ya uzazi ya siku 84 baada ya kujifungua na kwa mzazi wa kiume ni siku 3 hadi 7 hivyo kuendelea na majukumu yake nikimunukuu hakimu mkazi wa mahakama ya mwanzo kifura (Emmakrate Shuli)
#ChukuaHatua