๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐.
๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA), Tanga.
Leo anafungua kikao cha ndani cha viongozi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Wameandaa Mamia Kwa Maelfu Ya Vijana Wa UVCCM,Mikoa Yote,Ili Disemba 09, Wavunje Maduka Na Kupora Ionekane Kwamba Waandamanaji Ndiyo Wameiba Na Kufanya Uharibifu Wa Mali Za Watu.
Swali la kujiuliza, mtu anayesema uongo ili wananchi waandamane, Je kweli anawatakia mema wananchi? Lengo lake ni kutetea haki au ana malengo na maslahi binafsi?
@lifeofmshaba You mean government can come and take your property for no reason hii imezidi sisi kama wakenya haturuhusu hayo estafrica lazima tuanguke naye tarehe ni 9 total shutdown all border no exit only entrance for Gen z SOT