Hawa ndiyo wanaharakati wanasema ni waandamaji na haya ni maandamano ya amani?
Napata shida sana kuona hawa watatetewa na kuonewa huruma! Napata shida sana!
THESE ARE CRIMINALS...
@denhope26@HecheJohn Kwani Vyombo vya Dola havina uwezo wa kupeleleza na kutuletea ushahidi wa kuaminika..? TISS wameshindwa kujua kama ni Chadema....? Abdul Nondo alitekwa na Chadema....? Askofu Kitime alipigwa na Chadema...? Wanaharakati wa Kenya na Uganda walitekwa na Chadema.
? Kuwa Serious
@WalterSimsokwe@Sativa255 Tukizungumza in real sense,ili upewe mkopo wa 1B lazima kujiridhisha if unaweza kulipa.Swali ni unawezaje kulipa mkopo wote huo kwa mazingira ya Kwanza Sheria za Nchi hazimruhusu mtumishi wa umma kufanya Biashara yeyote, Pili kwa mazingira ya Mshahara wake kutokuzidi milioni 5..?