@zoetjesheeftX Sema hapa X siku hizi vilaza wamekuwa wengi baada ya kumiliki smartphone mtu anaamua kuandika anachojisikia kwa kuwa anajua wajinga wenzie ni wengi watamuunga mkono bila kufikria kama ni ukweli au uongo
@LUPITUKOMsigwa@Mjukuu98@mangekimambi Maana yake kama kuna mamluki jeshini wapotee mapema. Je vijana kambi wataweka kenya?? Maana hapo Tanzania kila poli lina kambi ya jeshi na ni ngumu kuweka kambi