...they are kidnapping, torturing, sodomizing, and killing us. What do we do? We stand aside, watch and weep. When will all this end? God should come sooner.
Dada wa Taifa ameshatoka kutimiza wajibu @mangekimambi
Baada ya wao ni sisi #OktobaTunatoka
MAANDAMANO
Tukutane kesho: Friday, October 17, 2025 Washington, DC. 10:00AM
Location: IMF HQ2
1900 Pennsylvania Avenue NW,
Washington, DC 20006
1. #FreeTunduLissu
2. #NoReformsNoElection
3. StopUtekaji
4. Free Polepole
5. Uvunjwaji wa haki za binadamu na Demokrasia
Please send @Liberatus80 text or call to confirm
KIKWETE: Hatujamsahau Dr Ulimboka‼️
Steven Ulimboka, mwenyekiti wa Chama cha Madaktari, alitekwa, akapigwa kikatili na kutupwa msituni ili afe kinyama — kosa lake? Kudai mishahara ya haki.
Badala ya kusikiliza, Kikwete aliwaambia “wasiopendezwa na mshahara waache kazi.”
Huo ulikuwa ukatili wa Kikwete dhidi ya watumishi wa afya. Jakaya Kikwete alianza kupenda kumwaga damu miaka mingi iliyopita. Wenge kawaua akiwemo Rais Magufuli. #tunatokaoktoba29
Oktoba tunatiki ni slogan ya kuwajibu watu wasioshiriki uchaguzi, @ChademaTZ2 mmewafanya ndugu zenu waache slogan yao ya kazi na utu na kubadili gia agani!!!
Kwa sasa kampeni ni kuomba watu wakapige kura!!
Hakuna kazi na utu kwenye kuteka na kuua labda kazi na UTI.
Kuna baadhi ya watu maskini, watu wasio na class, wakipewa madaraka makubwa wanakuwa na ukatili na roho mbaya sana kwa maskini wenzao. Wana trauma za umaskini. Hawataki kurudi ktk umaskini waliokulia zamani.
Umeona tofauti ya RCs wengine na Makongoro Nyerere?
@MariaSTsehai@SuluhuSamia@Liberatus80 Ujumbe mwingine ktk hili ni kwamba mtoto wa maskini ni nadra sana kumkuta ktk balozi zetu za nje zenye unono kama US. Hidaya Mahita, bila shaka ni mtoto wa former IGP Mahita
Hukupata habari ya mauaji ya Mzee Kibao, mateso ya Lissu, utekaji na mauaji nchini, damu ya Polepole na Mdude, etc. Ila taarifa za msiba wa RAO, mpinzani hapo ng’ambo, zimekufikia kabla jogoo hajawika. Uoga x Unafiki ni combo ya kuogopwa sana!
RIP Mzee RAO.
Raila had diabetes, DVT, kidney issues, and HBP yet while critically ill for all these days, the wife was nowhere close to him. He only had his bodyguard as the only family at his final moments. It's when the river dries up that we all see where the crocodiles have been sleeping.
Alichokuwa anakifanya Raila Odinga enzi za uhai wake, ndicho anakifanya LISU recently.
Nguvu hiyo hiyo unayoitumia kumpost na kumpongeza Raila kuwa alikuwa kiongozi bora, itumie sasa kwa LISU kum-support angali yuhai!!
Nguvu hiyo hiyo unayotumia kuonyesha hadharani masikitiko na huzuni kwa Raila, itumie kuonyesha masikitiko hadharani kwa LISU, iende ikamfariji kule gerezani na mahakamani!!
Nguvu hiyo hiyo ya kuguswa na harakati za Raila, itumie kuguswa na Harakati za LISU ambaye anakutetea wewe!!
Wakati mwingine sio hata Love ni Unafki tu wabongo, hasa wasanii 😡
Rest In Peace Raila 💔
Be Safe Antiphas ❤️