Bodaboda wa ule mtaa watafutwe wawekewe hata full tank Maana kuwakimbiza wale jamaa miles 3 sio mchezo, na mafuta yalivyo panda saizi walifanya uzalendo wa kweli 😭👏🏾
Cha kwanza tuachane na wasanii na watu maarufu. Watanzania woote tutumie social media kupigania katiba mpya, uchunguzi kutoka nje , accountability, serikali ya mpito na uchaguzi mpya.
Tutumie muda wetu kwenye social media kupiga kelele juu ya serikali hii haram. Tutumie muda wetu wooote kwenye social media kuikataa hii serikali.
Usikubali kujikuta unaandika comment hata moja juu ya topic ambazo hazina mashiko na ukombozi wa nchi yetu, hapa naamanisha acheni kuandika comments kwenye topics za wasanii na maujinga yao. Hakikisha unaweka bando ili kuingia online kuwakataa wauwaji na kupaza sauti juu ya uminywaji haki unaoendelea Tanzania.
Tutumie muda wetu kwenye social media kuiambia dunia kuwa tunashikiliwa na mtutu wa bunduki. Tutumie muda wetu kuomba foreign intervention ili tuwe na nguvu kubwa. Iran wamewauawa idadi ile ile kama Tanzania ila Iran wana trend sababu wa Iran woote wanaopata access ya social media wanachoongelea ni mauwaji yanayofanyika na kuomba msaada wa Trump, sisi Watanzania tunaingia online ku comment Zuchu na Diamond na Ritha wana drama, au Harmo na Kajala au mpira wa Simba na Yanga. Inabidi tubadilike. Hatuwezi kupata ukombozi tukiendelea kupeleka attention zetu kwenye issue ambazo hazina maana kwenye maisha yetu na kwenye nchi yetu.
Serikali ya Tanzania nia ya kishetani kama serikali ya Iran, kuwatoa hawa tutahitaji maandamano yajao yawe tofauti sana na #mo29 . Lazma nchi nzima iwe engaged, hakuna tena maandamano ya Gen Z. Lazma nchi nzima ipewe elimu na ijipange na maandamano at anytime. Nimeona video za Iran mpaka vibibi vimetoka.
Kwa sasa tuhakikishe Watanzania presence yetu kwenye social media ni ya kupambana na serikali haram tu na tusikubali mambo ya wasanii yaka trend maana dunia inatuona wapuuzi, tumepoteza maelfu ya ndugu zetu alafu tunakuwa busy na wasanii? Tusikubali.
The only trending topic Tanzania iwe ni kupambana na Samia, Kikwete na serikali yao haram na kustrategize ukombozi wa nchi yetu. PERIOD.
Hii video imeniliza sana.
Nduli Idd Amin Mama na washirika wake wameua Watanganyika zaidi ya elfu kumi na kuacha majonzi kwenye maelefu ya Familia za Watanganyika.😭💔
In response to the election protests between 29 October and 3 November 2025 in #Tanzania, security forces used unnecessary or disproportionate force, amidst a nationwide internet shutdown, showing a shocking disregard for the right to life and to the freedom of peaceful assembly.
Keep the spotlight on Tanzania and call for independent, thorough, prompt and impartial investigations into the human rights violations by security forces during election protests. Our latest findings, out now: https://t.co/us2wGmzpLX
#ProtectTheProtest #KeepEyesOnTanzania
UJAMBAZI WA RASILIMALI ZA TANZANIA UNAENDELEA KWA KASI.
Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii.
Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa Transom Tanzania limited, hii ndio kampuni itakayopewa umiliki wa airport ya KiA. Sasa angalieni shares. Oman wamepewa share 65%, Serikali ya Tanzania imepewa 10% only, hiyo kampuni yenye 25% ni kampuni ya Abdul.
Pale KIA ndio ilipo Tanzanite yenyewe. Kwa kuwapa OMAN airport ya KIA, sasa Tanzanite zitaibiwa na kupitishwa pale airport bila shida yoyote, wanyama wataibiwa, biashara ya pembe za Tembo ndio itapamba moto, madini mengine yataibiwa hapo.
Ni hivi kwa sasa wanasubiria mambo yapoe ndio watangaze kuwa wenyewe mafisadi na wanyonyaji (OMAN) wamejipa airport ya KIA.
Watanzania amkeni…