@MsigwaPeter Kpitie maridhiano ya mwanzo ya Zanzibar baina ya CCM na CUF yaliyosimamiwa na Amani Abeid Karume na Maalim Seif Sharif Hamad. Ona ni kiasi gani nyuma watu wa CUF waliuwawa na ni vipi walifanya maridhiano na kiasi gani maridhiano hayo yamefanikiwa
@Sativa255 Kuna hizi tetesi alafu kuna wewe ulikuja kutubania pua kuwa walikutoa marinda. Once nilikuonea huruma kama binaadamu mwenzangu lakini baadae niliona unastahili zaidi ya hayo. Hiii dunia ni ya maajabu sana ona huyu anaesema kuna mtu katolewa marinda yake yeye yako wapi πππππ
@ErickKamihanda Umeanza kukataa kusoma na kuujua ukweli sasa umekuja unataka kubishana. Nani amekwambia kuwa Muhammad ndio Muislamu wa kwanza au ndio story munazopiga mukiwa mumeshiba. Hakuna maandiko yoyote yanayodai kuwa Muhammad ni Muislamu wa kwanza
@TanzaniaLeaks Labda hamujui kuhusu katiba na bado munajifanya wanaharakati. Hilo jambo haliwezi kuwa na ukweli hata kidogo. Kwa mujibu wa katiba yeyote ambae amewahi kuhusishwa na kesi ya Uhaini hana nafasi ya kuwa kiongozi katika nchi. Maybe hili mulikuwa hamulijui na ndio limewaumbua πππ
@lifeofmshaba Hivi ni mimi ndio sijui kusoma au vipi ? Hivi ni sehemu gani ameandika nimeshirikiana na watu fulani akataja siku ? Sioni kabisa aliposema kama hii picha ni ya leo. Au ni vibaya mtu kutumia picha kumbukumbu na kulihusisha na tukio husika. Mungu tuepushie na akili za kijinga
@Sativa255 Mimi @Sativa255 unaniaminisha mwanamme akishatolewa marinda yake tu hamna kitu. Na usikute kwa kuwa ume enjoy saivi una KLY magetoni siku moja moja unajikumbushia... Sababu zimeelezwa wazi kwenye video au ww umesoma title tu ?