Linapokuja Swala La NDOA Ni PAST Vs FUTURE
Mwanamke Hatizami PAST Ya Mwanaume Hatakama Mwanaume Huyo Ametomba Kijiji Cha Wanawake. Mwanamke Anatizama FUTURE Kwa Mwanaume Kama Ipo Atakubali Kuolewa.
Mwanaume Anatizama PAST Ya Mwanamke Kama Ni CHAFU Hamuoi Akimuoa Ndoa Haidumu.
@Sativa255 Somo linaanza "karibuni kwenye series ya leo sub saharan states ambapo part 1 ni ghana empire anakupa madini hapo mkimaliza mnapigwa quick essay na intro ya part 2 hapo Mali empire. Next pindi hakuna anayekosa kmmmmmk mwamba wa kuitwa Ladislaus a.k.a Paroko pande za Victory sec
@Sativa255 Nime struggle sana history form one nimekula vi C mara paah form two tukabadilishiwa Teacher oyaaa we yule msenge anajua anasimulia kama movie hivi. Kmmmmk nimewaongozea sana history mpaka pale form four wakatulitea teacher msenge msenge nikaishia kula B+
@MchumiaTumbo_@Adventure_36 Watu wanasubiri tamko walifanyie kazi bro, ukisema sio "LAZIMA" maana yake ni kwamba fanya ujisikiavyo na always utafanya jinsi inavyokunufaisha wewe. So tegemea Basi nyingi kutoingia Stand maana kuingiza BASI stand ni hasara kwa wamiliki
@PatrickEdson8@Sirajitz1 Wangese tu hawa mapacha wa kkoo
Sababu yao eti hawawezi kujenga viwanja vidogo kisa wanamashabaki wengi, wakati kutwa kutumia viwanja vidogo vya timu ndogo ๐๐๐๐ @SimbaSCTanzania@YoungAfricansSC shame on you