@Neemaallyneema4 @emshayoo @254kimathygitui @kigogo2014 Yani kila siku walikuwa Wana lia manji aludi adi waka fake barua kwamba manji analudi Leo wamekazana mo tapeli sijui kawatapeli baba zao
@254kimathygitui @emshayoo@kigogo2014 Kwani kigogo ni Nani? Pale Simba Mbona unamuamini Sana kigogo au anakukaza? alianza mzee kiromoni alishindwa kuivuluga Simba pamoja na kuwa na hati ya timu so tafuteni Mambo mengine ya kufanya Simba iacheni kama ilivo Tuliene
@HamadHamis @SimbaSCTanzania Naona mnajifaliji na propaganda za kigogo Endeeli kuteseka na Mafanikio ya @SimbaSCTanzania kwani amewatapeli nyie au kamtapeli baba ako muku nyie