Inna lillah waina ilaih waina ilaih raajiun.
Pole sana familia ya Mzee Suleiman Bungara Bwege kwa msiba huu mzito. Pole sana Mama Mwanawetu Zarafi, mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha ACT Wazalendo kwa kufiwa na mumeo.
Pole zangu kwa wana Kilwa na Lindi kwa mtihani huu. Mola ampumzishe Mzee wetu na tuendelee kumwombea dua.
It was an honour for us when H.E. Charlotta Ozaki Macias, the Swedish ambassador to Tanzania, visited HiHEA-TZ to check out the implementation "Empowering Young Generation with Digital Enterprises" project carried out by HiHEA-Tanzania with cooperation from HiH International.
Kuna watu kitu wanapata changamoto ya kuelewa. Tunatakiwa nafasi hizi zipewe kwa wanawake na Wanaume sawa, ila si kwa sifa ya ujinsia, bali kwa sifa ya uwezo. Hili ni funzo kwa sisi Wanawake, tuache kujikinyata, tuonyeshe uwezo wetu ili inapofika nafasi kama hizi tupate nafasi.
Watu wa aina ya Ruge ni wachache sana. Huwa hawazaliwi mara kwa mara. Mtu aliyeutangulia wakati, aliyeongoza bila cheo, aliyekuwa na mamlaka bila madaraka, aliyekuwa tajiri bila mali. Aliyeishi maisha mengi katika umri mdogo. Alale kwa amani!