@_zack255 Binafsi nitafurahi sana kuona mechi inachezwa DAR na siyo zenji ila sasa nashindwa kuelewa inakuwaje iandikwe kwa kizungu afu chini ya sahihi kuna maneno yenye lugha ya kifaransa????? Manake chanzo cha taarifa si sahihi
@eastafricatv Maneno mengine ni ya kufurahishana tu hiyo bodi ya ligi inaundwa na roboti au watu?? Na kama ni watu hawashabikii mpira?? Hakuna kitu apo hiyo hiyo bodi itakuwa na wapenzi wa simba na utopolo kama kawaida