@gabyconscious@joshuasultanPT ndomana nikauliza matokeo,kama tunamadaktari bingwa na wagonjwa hawaponi nini maana yamadaktari bingwa? Tunavyombiwa watu weusi ni low IQ sio kwamba hatufikirii na sio wasomi ila impacts yetu kwa maendeleo ya dunia ni ndogo.๐
@gabyconscious@joshuasultanPT kwa eneo ilipo TZ Unazani ni sahihi kua hapa kiuchumi,kumbuka hio dar yenyewe ambayo ndo moyo wa biznes sahizi ndo roads zinajengwa ani saizi kkoo inamashimo mashimo siriazi๐?
@freemaker_tz fx ina run over $8 TRILION kwa siku, ndo biashara kubwa zaidi duniani,howcome tunaitetea wakati yenyewe tu inatosha kujitetea?fx inatakiwa kujadiliwa na fx traders kwaajili ya kufeel knowledge gap,sio kuishindanisha na betting wala biashara nyingine.
@mrnobodyQ7@The_PR0F3S0R Utaona mala mtaji chini ya $100 wewe sio trader,kama hufanyi hivi au vile wewe ni unabet,
Utazani kuna mtu anaemlisha mwenzie humu,kiufupi usenge ni mwingi na maendeleo ni 0 kwaio me sishangai fx traders humu kuonekana wajinga wajinga ,ni kweli wajinga wajinga wengi๐
@Xauusd_fan@Ibrahimsel55015 Me nimejibu nyie mnaosema hizo $10 sio mtaji wa fx kabisa,mana ake hamjui maana ya biashara kua lazima kuwa na watu wenye mitaji midogo, yakati na mikubwa,sasa nyie mseme mmeshindwa mtaji mdogo mnaishia kuchoma ila msiseme sio mitaji wakati sisi tunaona inafanya kazi
@GilbertPaul095 Sasa wewe si ndo akili huna kwaio unataka kumwambia mwanako kua huyo jamaa kideoni ndo yesu?๐๐๐
Daaah mtoto anaona kapata hasara yakua na baba fala