@shaks_prince Nilikua nabishanaga na mtu huku hadi namtania mambo personal nilipoona yupo kwenye misafara ya watu wazito tuu nikajiona mjinga sana na kukaa mbali๐๐ฝ. Watu wapo social sana humu ndani ni jambo zuri ila pia ni jambo baya ukiwa humjui unaetaniana nae.
@DigitalMene@KennedyMmari Ukamsomeshe mtu USA medicine na uje umlipe kwa rate ya huku๐คฃ๐๐ฝ, Atakukimbia Day one tuu wakati pesa atakayolipwa kule per 1 yr hatoipata hadi anastaaf.
Kuna Nesi mmoja ni mmbongo Yupo Uswiss nimemuona anashauri madogo kwamba kama wanataka kazi fasta kwenye sekta ya Afya wasome Nursing.
Amesema Nursing inakubalika kimataifa na unaweza fanya kazi nchi yeyote ata kama umesoma Nursing Tanzania.
Akasema Kozi kama udaktari ukiisoma Tanzania ukienda mfano Uswiss uwezi ajiriwa itakuhitaji usome tena Miaka mingine 6, lakin Nursing unafanya tu mtihani wa kuthibitisha vyeti unaingia kazini.
Akasema pia Kozi kama Clinical Officer sio kozi ya kusoma, iko limited sana utafanya tu kazi zahanati za vijijini.
Kasi kwenu mliopangwa Form Five.
@makumbawaleo_5n Kuna senior wangu alikua ahata kama mnaenda kwenye event wote na mnatoka job habebi mtu kwenye ndinga yake, mafuta yalipopanda ndio naanza muelewa.
Bro code:
Pale job kuna yule Mwana anatoaga lift kwenye ile IST yake jioni hadi home, mkitoka anapita sheli kuweka wese la 20k.
Siku moja moja ongezea 50k kwenye hilo wese itakua unyama sana!
โ๐พ