TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
@daniMaestr0@ayubu_madenge kuna kitu umeacha hapo ukishuka kidogo ukatoka kwenye barabara inayokunja inaenda oystabay kuna min super market halafu nyuma ya hiyo kuna pub huwa ina vibe kinoma
Elimu hii imeokoa Maisha ya Mamilioni ya Watoto Duniani..!
↳ Lakini hapa kwetu Bongo, Ndoa nyingi zinaingia kwenye mateso bila kujua sababu. Wanawake wanahangaika bila kujua mwili wao wenyewe ndio unawaumiza watoto wao – kimyakimya..!
↳ Wanaume tupo, kama matwantwa, Hatushirikiani na wakezetu, Kuanzia kabla ya mimba, baanda ya mimba, hatuendi kabda clinic...!
Wanandoa wote, tafadhali: Fanyeni vipimo vya damu kabla ya ndoa..!
✔ Tambueni kundi la damu na Rhesus factor zenu,
✔ Panga uzazi kwa maarifa,
✔ Linda maisha ya watoto wenu — si kwa bahati, bali kwa ELIMU!
PS: SHARE Uzi huu kwa watu wawili tu leo — huenda ukawa umeokoa maisha ya mtoto ambaye hajazaliwa bado. Usisahau kunifolo ni Mimi... Mkunga OG.🫡
@hamic_juliuc@Jambotv_ kwan bodaboda ni matokeo ya nini kama sio kukosa ajira? njoo Dodoma boda boda 75% ni university graduate na most of them hadi wana masters ila yupo kwenye boda au bajaji
@MaxTz255_ Usimpe mteja simu yako ya kazi ili aandike namba, usisave namba yoyote kwenye phone book ya simu ya kazi, hakikisha kila Till inakaa kwenye simu ya peke yake yaani simu moja Till moja ili usichanganye sms za miamala, usimuhudumie mteja ambae anaharaka labda muwe mnafahamiana.
@Adventure_36 sio kila mtu anaweza mudu kulipa ada ya VETA, kuna mtu alipostpone chuo kwa sababu tu ya kukosa laki nane ya kulipa ada, huyo mtu ataweza pata ada kwenda tena kulipa ada ya VETA??
@Bwoisama umenikumbusha enzi zaa ujana wanguu😂 hapo kulikuwa na watu wakipata sup wanakuwa hata hawataki kuzungumza na watu, wanaingia kwenye chumba cha mtihani kwa kujificha
@DNDartLAB@Bwoisama umeongea point sana chuo kupata sup kwamba huna akili saa nyingine mambo ya nje ya masomo yanaweza kufanya ukapata sup au carryovee