Kuna siku niliita dem yangu hapo mlolongo kwa club tujibambe akakuja na her five friends. Tukachukua meza yetu sasa ni ndume moja against six. Tukaorder kilo tano ya ribs tupikiwe tueke foundation lakini hizo masaa nikona wasiwasi mingi sana ju sijui venye nitalipa hiyo
A husband was walking inside the mall holding his wife's hand. Suddenly, a friend saw him and said: "Bro, it's been so many years since your marriage, but seeing your love for your wife even today makes my heart happy." The husband whispered,........
nikiwa fresher kuna siku rafiki ya rafiki yangu alikuwa na birthday bash, so ilikuwa tufanye sleepover, so by 8 tulikuwa huko, peer pressure ni mbaya, huyu jamaa alikuwa na Dem yake, kufika tulipata wameshapika,
Don't be quick to judge hao madem unaona club, wengine wamepitia traumas mingi hizi streets the only way they can heal them ni kulewa i guess after kulewa pain goes away.