Kuna wakati Mkurugenzi anatamani Auze yale Mabasi mawili ya Mwanzo pamoja na lile li moja alipewa kutoka Uyole ila akikumbuka ni ya Mkopo na Anadaiwa Rejesho anaishiwa nguvu😂. Yanamtesa tu sasa hivi. Basi nzima zimebakia Tatu EJ na EK
Wapambe mtamuua Tajiri punguzeni ushauri 😀
Huyu ndo George Maratu. Enzi zake alikuwa ana ripoti habari kutoka Mkoa wa Mara na alikuwa na style yake fulani hivi ya kipekee sana, ukimsikiliza lazima utabasamu. Sijui siku hizi yako wapi?
Benki ya CRDB inajenga shule ya Secondary ya CRDB yenye madarasa 16, kama sehemu ya kutoa mchango wake kwa jamii. Hili linakuja wakati benki hii inatimiza miaka 30, tena shule hii itakuwa ya kisasa sana pia itakuwa na viwanja bora vya michezo kama football, Basketball na Netball
Ninawakumbusha tu, Mkurugenzi alikuwa na haya ma Scania kitambo sana lakini alistuka kabla Jua kuzama. Kizuri zaidi yalikuwa by cash.
Ninyi chuma ina miaka 5 bado inadaiwa, sasa hivi imebakisha TBT tu EB na DX zote hamna kitu si Bodi wala Injini. Si kwa Ubaya ILA Tutakuwepo🫵
Trump ameingia Qatar na nchi hiyo imesema itanunua ndege 160 za Kampuni ya Boeing ya USA zenye thamani ya Tsh Trilioni 528, sawa na bajeti ya Tanzania ya miaka 10. Pia Qatar inataka kuipa USA ndege hii kama zawadi iwe inatumiwa na Rais. Trump amesema atakua mjinga akikataa zawadi
#UZI
💨SIMU MPYA LAKINI HAINA 5G?
USINUNUE HADI UFAHAMU HII
Mwaka 2025 ni mwaka wa kasi—literal! Hii ndiyo sababu unapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kununua simu mpya isiyo na 5G.
Hebu tuweke mambo sawa...
Shuka🧵👇
Usisahau kurepost🔄
Hiyo ilikuwa ni moja ya mkeka safi sana lakini unajua hawa jamaa wameshindwa kufanya maintenance
Hizo barabara za muda mrefu uwa baada ya muda furani zinahitaji layer juu
Nimekumbuka ule wimbo,
"Dunia tunapita ehh, Kila kitu kitabakiaa"
Nigeria leo wameenda na kurikodi Mali za Aliyewahi kuwa Billionaire Nchini humo miaka ya 1980's
Alhaji Mai Deribe,
Huyu bwana alijipatia utajiri kwa Mafuta na Gas, miaka hiyo.
Unaambiwaje Mwamba Alijenga Hekalu lake huko Barno Nigeria..
Endelea...
Video kwa Comments 👇