@CarolNdosi Sio maigizo ni kweli na watoto wa kike wameingia huo mkumbo wanajiita " pisi msela" wamejizima data, chanzo ni umaskini na malezi, serikali imejiondoa na malezi hakuna dira ya kulinda kizazi
@Rchacha1298621@eastafricatv Mbona tunachimba gesi mtwara, teknolojia yetu ni sawa na Russia au Norway ktk gesi? Hatuna political will tu ya kumiliki uchumi wetu 100% au na wewe unakubali pia tulishindwa kuendesha bandari zetu mpaka tukawapa watu waziendeshe?
@Rchacha1298621@eastafricatv Hiyo international trade unayosema wewe ndio huijui vizuri. Unaweza kuchimba chuma, uka outsource technology, uka hire expatriates, nk. Kuchimba ni advantage kwetu kuliko kuagiza na tunaweza hatukua na political will tu.
@rollymsouth Power of social media, CDM wafanye blending of campaigns, waendelee na mikutano pia waandae heavy social media campaigns ktk platforms zote, no reform no election haijaeleweka na watu wa kawaida. Kwa yanayoendelea campaign yao iwe 25% physical 75% digital watafaulu angalau.