‘Nawa mikono kwa maji safi na tiririka kabla na baada ya kula’ OK. Huwa unanawa mikono kabla ya kupokea karanga kutoka kwa muuzaji au kashata kwa muuza kahawa?….hivyo navyo ni vyakula.😎
@masoudkipanya@officialcza1#ChungaSana
Njaa hufundisha huruma, kiu hujenga subira na kimya cha sahari huamsha dhamiri. Katika kufunga, imani hubadilika kuwa matendo, na rehema kuwa mwanga wa kila siku. 🌙 Ramádaan quareem!!
Mambo 3 ya bei rahisi duniani:-
1. Upumbavu
2. Kiburi
3. Unafiki
Haya yoote yanajumuisha ‘Umasikini’
Mambo 3 ghali zaidi duniani:-
1. Elimu
2. Jeuri
3. Maamuzi, (bila kujali ya aina gani)
Haya yoote yanajuisha ‘Utajiri’
#ChungaSana soko lipo wazi.