@salimbimani2 Mbona hatujapata maelezo kutoka kwa wale waliowekwa ndani yaliowakuta huko.Maana ya jussa tuliyasikia je ya mazrui na wenzake mbona kimnya???
Alipotekwa mara ya kwanza alituhadithia uwanjani na haya je ???
Ama ni ...
@ACTwazalendo@zittokabwe@SeifSharifHamad
The countries of Eastern Europe had to guarantee LGBT rights to enter the European Union, but now that they are in and are backsliding, the EU isn’t insisting that they uphold those rights. https://t.co/5sbfg7ZL4G
@ThatBoyKhalifax Wanataka Rubberstamp ya wananchi.Hawajui watawadanganya vipi wananchi mara hii.
Katika Kampeni walitoa maneno makali dhidi ya MARIDHIANO sasa itakuwaje ndio wanawaza.
ila wanasiasa wa democrazy ni wahodari SPIN DOCTORING.
Utaona tu.
@ahmedomarkhamis @SeifSharifHamad Tunamfahamu vyema kaka na hivi karibuni ataingia katika MARIDHIANO .
Na mara hii sijui atawaambia nn wazanzibari maana katika kampeni kulitolewa misemo mkali kweli!!!!!
#HakunaMarafikiMaaduiWaKudumuBaliMaslahiYaKudumu
This is DEMOCRAZY.
@zittokabwe@TunduALissu@simonallison@thecontinent_ Mtazamo wangu ni kuwa TL na upinzani walijuwa lengo si ushindi wa raisi lakn kampeni zilizvyoanza HOPE ikaingia kuwa ushindi ni wa kwao.
Failure ilikuwa katka matarajio makubwa kwa wananchi kuwa wataungana pamja kupambana barabarani!!!!!????
#NaivePoliticians
@EngNyahucho@SuphianJuma Lakini kama mwanachama hana budi kushikamana na maamuzi ya chama.
maoni yangu jambo hili dogo nashangaa hukuliona kutoka mwanzo???
It is expctd fro m a DEMOCRAZY that COMPROMISE is the basis in all conflicts.
#MiyeSiMuuminiWaSiasaHzo
@allysalehznz It is expected kaka si jambo la kushtuka.
Hakuna suluhisho jngne kutoka kwa mfumo na siasa za demokrasia.
ila linaloumiza zaidi ni ummah kuvunjwa moyo miaka nenda miaka rudi.
#Ummah amkeni na hadaa hizi za DEMOCRAZY.
@zittokabwe@MagufuliJP Na serikali yyte nyngne si kuhitaji tu bali kulazimishwa misaada ili izidi kuwekwa ndani ya "trap" ya Mfumo wa kibepari (CAPITALISM).
Huu ndio unaitwa ukoloni mamboleo.(NEO COLONIALISM).