@ayubu_madenge Hamjui aliyopitia ADC Jana tulikua na uchaguzi wa kutafuta Mwenyekiti, Makamo bara,visiwani, utumbo uliofanywa mng'atukaji unanuka uvundo wa kisiasa, analazimisha duara lote la uongozi ibaki familia hususan penye fedha ya chama, walikuja wajumbe mkutano Mkuu wanadhalilika .
@mshambuliaji yaani ifungwe twitter, sawa what next and next, nyinyi watu, huu utawala bora na demokrasia unatafsiri gani kwenu, yaani musipowajibika, munaponyanyasa tuwe bubu?
@marwason57 @TunduALissu Munamfurahisha kaanza ubaguzi Zanzibar hapo hatoishia atakwenda mkoa kwa mkoa, huyu maji mutayaita mma yupo tofauti na Mbowe, hasira kama kala chumvi duh!
@TunduALissu Ardhi yote mali ya umma imekabidhiwa kwa Raisi kama mdhamini (msimamizi) mkuu kwa niaba ya watanzania wote; Hakuna mwanasheria hajui hili labda sisi mbumbu ambapo hutokea mtu kama huyu anataka Rais Samia afeli kimaendeleo, wamasai wa mwanzo walipewa mbadala wa makaazi wakapinga
@NicholausL1988@TunduALissu Hiki ulichosema ni cha msingi kabisa, issue ya serikali kuwaondoa inafahamika kwamba siyo mmasai tu inawezakumuondoka kuweka maendeleo, mtu yeyote muhimu ni fidia ya kifedha au mbadala wa makaazi, huyu jamaa naona anaanza kushuka thamani, anapayuka, alete habari yote, ya ukweli
@20qnana @ChademaTz wapi kaona serikali hazichukui hatua hizo zinapohitali kufanya miradi ya maendeleo? Muhimu aangalie kuna ulipwaji wa wananchi wakivunjiwa au kupatiwa makaazi yanayokidhi haja, hili aweza pigia debe, silakuondolewa, atuache kwanza tuletewe maendeleo Tundu Lissu , ni mwanasheria?
@20qnana @ChademaTz Ndugu yangu hawa watu wa Chadema ni waroho wanataka madaraka by hook or crook sasa, leo nimeona post ya @TunduALissu kazuka na upole nifahamu hapo , eti serikali ya SSH imevunja makazi ya wamasai , anataka kiki na watu wanaanza kumuelewa, hivi ardhi kisheria ni mali ya nani?
@MajogoroNgerej5@MariaSTsehai Tanganyika unatafutwa umedondoka hapo ukumbini kwa Tanganyika, unamuuliza mzanzibar kama kaiona? no, hatujawahi kuwaingilia ndani watanganyika nyinyi, sisi tuna maadili na leo tunaheshimu utanzaania, tunachotaka ni uzanzibari uheshimiwe pia , tuwe na maamuzi yetu.
@MariaSTsehai Nchi gani iliyo ungana na Zanzibar na kufanya Tanzania? Siyo Tanzania Bara.
Tanzania Bara haikuwepo kabla ya 1964, ilikuwepo Tanganyika. Sasa kwanini mtu aseme Zanzibar iliungana na Tanzania Bara. Hata hilo nalo mnaongopa? Tanganyika ina tatizo gani?
@rugemal9@MariaSTsehai@TunduALissu Richard you are diamond, Mbowe ana busara si Maria wala Lissu, ukimsikia Maria anaingia ktk personal life ya Samia utaacha mdomo wazi eti ( bi Kizimkazi) niliiona hii, Lissu hasira hizi zitaondoa Zanzibar na hatimae mikoa itakoma kwa adhabu, mbowe and leadership wisdom
@bababrayan@MariaSTsehai@TunduALissu Huyu ataweza kutupa Zanzibar yenye mamlaka kamili na tutashukuru hii bughudha ya kisiwa kidogo cha watu arobaini kilichojaza watanganyika wanaishi bila taabu lakini sasa kunaletwa ubaguzi
@PMadeleka Kapaka poda nabii, tafuteni pesa mpaka Nyerere kaleta sufuria ya maji, nilicheka , population of 59 millions with 27, millions chap wanakua nabii