@BarakaJohaness_ Shida kubwa ya Manchester ni system, sancho sio wa kwanzaaa Depay, Di Maria na Van De beek ni mfano mzuriii wameshindwaaa kuonyeshaa uwezo
โข Deeper build-up
โข Inverted full-backs
โข Number-eight threats
โข Defending the counter-attack
โข Locking the ball on one side
We've analysed Leicester City head coach Enzo Maresca's principles and playing style... ๐ฎ๐น๐ฆ
#LCFC
@BarakaJohaness_ Yaaah bro nilisema hili coz Madison ni hatari sana kuanzia Passing ability yake, Shooting ability, possession na hata kufunga pia, so Spurs chini ya Post wamepata mtu sahihi sana ndani ya kikosi
Vitu ambavyo Mabinti wengi vinawapa presha mtandaoni, wanaishi kwenye dunia ya kufikirika (Fantasy world) wanatamani kuwa kama Hamisa wa maisha yake binafsi na sio Hamisa Mchapakazi, hapo ndipo tatizo huanzia.
Mabinti wengi hawatohamasika na picha ya Mama anapasua mawe apate mkate wa kila siku, Mabinti wengi hawatohamasika na picha ya Mwanamke anafanya kazi ya utingo kwa Daladala, amini kuwa picha kama hii ndio itawatesa na kuwanyima usingizi.
Picha kama hizi ndizo wao watacomment โGod whenโ picha kama hizi ndio wao wataona Wapenzi walionao hawana lolote na kisha wataenda nje na maisha yao waishi kama hivi.
Mwambie Bint yako, wote hamuwezi kuwa kama Hamisa, Wanaume wote hawawezi kuwa kama Mume wa Hamisa ila Mungu anagawa rizki kwa kadri yake, kudra zake na kadari zake! Thamini ulicho nacho.
Waambie Mabinti muda utafika, wasiumizwe hisia kwa vitu vidogo! Mara Iphone 14, mara nyumba na magari, mara likes na views za mtandaoni! Wengine wamekuwa na mioyo laini sana kiasi ambacho hatua za mwingine zinamtesa, NO rizki yako na fungu lako laja! Shukr na Sabr.
Waambie shape walionayo inatosha kwakuwa Mungu ndie mjuzi zaidi, waambie rangi waliyonayo ni nzuri kwakuwa Mungu amemuumba kwa mfano wake! Asikosoe kazi yake, aheshimu kazi yake na afurahie maisha yake.
Wakumbushe wala usiwafiche kuwa Mtandaoni tunakuonesha tunachotaka uone, hupaswi kuwa na stress! Mungu atubariki sote๐๐ป
Mfikishieni salaam zangu Msemaji @alikamwe ๐ aendelee kupokea michango ya Mabus ya Rwanda!
Tuendelee kufanya miamala kupitia SIMBANKING ya @crdbbankplc@crdbbankplc zawadi zinazidi kutoka Wanangu.
VISIT MOROGORO๐น๐ฟ
Sijui kwanini timu zinaendelea ku take the bait kwa Brighton's build up. Sitback, let them have the ball, cross the halfway line .. thats your cue. Hit them on the break . Their rest defense not good enough yet
A regista is a player who operates between Defense and mildfield ( he controlls the games flow ) anaamua timu inachezaje kwa wakati gani , anaunganisha defense na mildfield hana utofauti sana na deep lying play maker
A regista is a player who operates between Defense and mildfield ( he controlls the games flow ) anaamua timu inachezaje kwa wakati gani , anaunganisha defense na mildfield hana utofauti sana na deep lying play maker