@asiliasali Jahazi lina pande 3, Nyuma (Tezi) ,Mbele (Omo) , na Katikati ni Ngamani.
So Kwenye jahazi unaweza kukaa popote,Tezi au Omo,ila bahari inapochafuka,Utarejea sehemu iliyo salama ambayo ni Ngamani.
Maana yake kwenye maisha,utahangaika kote,ukipata changamoto utarejea nyumbani.
Baada ya kuonekana kwenye video iliyowekwa kwenye kurasa rasmi ya Instagram ya LaLiga, Staa wa Mziki na Mwigizaji wa Tanzania Hemed ameeleza sababu ya kushindwa kupata picha ya ukaribu na staa wa Real Madrid Vinicius Jr kwenye mchezo wa juzi Jumamosi dhidi ya Villarreal