@privaldinho Katiba ipo wazi ibara ya 9 kifungu kidogo cha 6(a) (b) kinasema endapo itatokea hali ya kuvulugwa kwa mkutano ulioitishwa na mwenyekiti wa klabu bodi ya wadhamini itawaamulu wanachama na mashabiki kwenda kunya kwenye klabu yoyote iliyokaribu na ofisi za timu ili kupunguza hasira