Career Educational Psychology, Frexh Fish supplier Dodoma (kambale & pelege), Steel Fixer, House constructer,Jet Ambassador Team. 0746505057 Equality to All. π
MAMBO 3 YANAYOFICHA UKWELI;
mapenzi,
chuki, na
hofu.
ILA UKWELI UNAKASUMBA YA KUJIDHIHIRISHA PINDI UKIFICHWA
na hapo wanafiki wanakasilikaπππ.
@AHKaku @Eric_Bernard94 Tunazo propaganda za tasisi kujiingiza kwenye promo za vijana ila walio wengi hawafikiwi na wanao fikiwa wapo katika mkondo sahihi wa taarifa basi wanaofanikiwa wale wanaolipwa posho za promo ya hii kitu.
Hivi umepata kuona vijana wanaofanya kilimo kwa sasa wako na maisha gani?
@AHKaku @Eric_Bernard94 Sina hakika na usemayo na sidhani kama kuna kijana aliyesubiri ajila japo wapo na mategemeo ya hilo. Kila kijana ameji ajili kwa nafasi yake ila awapo katika mkondo wa ela, kampeini ya sasa haitakiwi kushawishi vijana kujiajiri ila ni kuwaonyesha na kuwaweka katika mkondo sahihi