Praiveti Rabia Msafa kutoka Kanda ya JKT katika Mashindano ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA), ameibuka mshindi wa jumla katika mchezo wa upigaji shabaha, akiongea na JKT Media amesema haikuwa rahisi kuwa mshindi wa jumla kwa upande wa wanawake kutoka kanda saba zinazoshiriki Mashindano hayo.
Kanda ya Ngome imeibuka mshindi wa Jumla kwa kupata alama 5560 huku nafasi ya pili ikienda Kanda ya JKT ambayo imepata alama 5148. Kanda ya Polisi imekuwa ya tatu kwa alama 4812 na nafasi ya 4 kushikwa na Kanda ya SMZ kwa alama 4009.
Nafasi ya 5 imechukuliwa na Kanda ya Uhamiaji kwa alama 3881 huku nafasi ya sita ikienda Kanda ya Zimamoto na Uokoaji kwa kupata alama 2604, na nafasi ya 7 imekwenda Kanda ya Magereza ambao wamepata alama 2152.
#KemgongoUPDATES
Miaka mitano nyuma ungenambia mwanamke anabeba Anguko langu.
simply ningekataa na kusema mwanamke anaenipenda hawezi kuwa hivyo.
But,Najifunza mengi since childhood to adulthood Now.
Mwanamke alinifanya;
•Nikaaacha kazi
•Nikakosa Mshahara
•Nikavunja Uaminifu
•Nikakosa furaha
•Nikapoteza heshima kwenye familia
Yote ni kwasababu niliwekeza Nguvu na akili kwa mwanamke.
Dear Men,Stop it then Level up!
Maoni ya Madereva wa Mabasi ya Mikoani na nchi jirani Mkoani Mwanza, yaliyotolewa Septemba 17, 2026, kuhusu suala la kufungiwa leseni zao.
Soma https://t.co/9taGF0nlXE
#JamiiForums#Uwajibikaji#JFMdau2026
Wakuu
Naomba kuuliza kuhusu swala la Dereva kupunguziwa Point ktk Leseni
1. Je! ni makosa gani yanayochangia dereva kukatwa Point na kila kosa ni Point ngapi??
2. Je! kuna Approval level ngapi mpaka Point zinakatwa? Nikiwa na maana kuna mtu anaReview kosa na kuruhusu Point ikatwe ama Police akishaandika Point zinakatwa hapo hapo.
3. Je! kuna namna dereva ana haki ya kukata Rufaa ikiwa anadhani amekatwa Point isivyo halali?
4. Je! Point zinaongezeka tena baada ya kukatwa ama zinapungua? Kuna namna Polisi anaweza kuReward point au wao wanakata tu??
5. Maswali ni mengi sana
#ElimikaWikiendi
CC
@munyamambogo
#HABARI Madereva wa magari ya masafa marefu wameeleza kutoridhishwa na utaratibu unaowalazimu kurejea darasani kila wanapohitaji kuhuisha leseni zao za udereva, wakidai kuwa mafunzo hayo yanajirudia na yanapoteza muda ambao ungeweza kutumika katika shughuli zao za usafirishaji.
Wamesema utaratibu huo unaathiri uzalishaji wao pamoja na shughuli za waajiri, hivyo wamezitaka mamlaka husika kutafuta njia mbadala zitakazorahisisha mchakato wa uhuishaji wa leseni bila kuathiri utendaji wa madereva.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Martin Chegere ameandika historia kwa kuwa mmoja ya Watanzania wenye umri mdogo zaidi (miaka 39) kuwahi kufikia ngazi ya Profesa.
Taarifa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya Juni 25 2026 imeeleza kuwa, Profesa Chegere amefikia ngazi hiyo (Associate Professor) Juni 24, 2026 kwa kupanda akitokea ngazi ya Mhadhiri Mwandamizi, baada ya kupata alama 8.39 kwa ukufunzi, utafiti na machapisho ya tafiti za kiakademia.
Home, again! Mission complete. I hope we glorified God, humanity, our families and our terrific teams a @NASA and @csa_asc. Time to share the good news!