@HKigwangalla BA marketing na kuwa tour ya kutembelea viwanda vilivyokufa vyote na kuwapa kazi kuja na proposal namna gan ya kuvifufua na kupitia wao na kwe garama ambay sio kubwa unawez kupat namna kubwa ya kufanikiwa kuvifufua na wao kupat ajira
Asant Mh
@HKigwangalla ujumbe kwa waziri wa viwanda ..MH waziri. nchii tuna vyuo vikuu vingi sana vyenye vijana wabunifu na wenye mawazo makubwa sana niliwaza sana kama tukiwatumia kuvifufua viwanda vyetu. mfano kama wizara mnaweza chukua vijana kutok kila fani mfano engeniering.
@innobash vilivyokufa vyote na kuwapa kazi kuja na proposal namna gan ya kuvifufua na kupitia wao na kwe garama ambay sio kubwa unawez kupat namna kubwa ya kufanikiwa kuvifufua na wao kupat ajira
Asant Mh
@innobash MH waziri. nchii tuna vyuo vikuu vingi sana vyenye vijana wabunifu na wenye mawazo makubwa sana niliwaza sana kama tukiwatumia kuvifufua viwanda vyetu. mfano kama wizara mnaweza chukua vijana kutok kila fani mfano engeniering. BA marketing na kuwa tour ya kutembelea viwanda
@zittokabwe ni vyema ila u take this personal n not for a nation fikiria u girl amekaa dawati moja na mzazi unahisi stry atakazokuwa anapew tht young grl na mwenzie mweny mtoto ni rahisi coz watoto wako wako kwny shule nzur na hii tunazid kupromote waone na sawa kubeba mimba
@MariaSTsehai @WBTanzania @DavidMalpassWBG @AccountCounsel@AP@AJENews@WorldBank@cnnbrk@hrw @Diop_WB @Penny_WB @BBCAfrica ni vzr ila tuulizane bint kapat mimba karud shule kakaa dawati moja na bint yako hvy unahisi stry zao zitakuwa ni zipi na unahis mwanao atakuw safe kweli?. wanenu wanasoma shule nzur sana ila tukiyaendeleza aya tutakuw tunatengeza taif la wanafunz wamam
@HKigwangalla za asubuh mh wazir napenda kutoa maon yngu kuhus market strategy ya hz mbuga mpya ni rahis kufahamik kwa kuwatumia vzr viongoz wetu wakubw kam rahs mfn kutoa offer ya free hollday kwa presidents wa EAC na familia zao kupumzik kwa muda kule ile habr inacover vzr mbug ztu

@umwalimu onger mh wazir ila kama wizara kuna magonjw mengine yanabidi yabaki historia kwa maan ipi mji mzima motaro ya maji imetuama kila mahali means kipindupind akitaish dengue tutaumwa why tusipitishe maamuzi kila mtu azibue mtaro wake wa maji ukikutwa mchafu anapewa adhabu