"Once again, we salute our health workers.
In the middle of this crisis, many #healthworkers are losing their lives to save others. And we salute you. All of the respect and appreciation from us."
-@DrTedros at @WHO press briefing on #COVID19 today. #coronavirus
Prof Assad (CAG),msimamo wa kusimamia HAKI ni tabia adimu.Msingi wake unaimarisha tabia ya aina hii ktk Nchi na thawabu yake utalipwa na Mungu.Nina furahi sana kwamba wewe bado ni imara ktk Haki.Mimi/Mh Halima Mdee tume simamishwa Bunge,lakini umekuwa faraja wa adhabu yetu hii.
Good Luck @SimbaSCTanzania Its going to b a tough game. This match will need for our players to dig deep in their hearts and soul to fight. They will need to show character and hunger, they will need to want it more than Al Ahly. May GOD bless & protect them.We are praying for u
Imagine, Mbunge @mwigulunchemba1 anapost picha za UONGO na anazitumia kumpongea Rais. Tumefikia kiwango hiki cha kujipendekeza? So ashamed of you Mwigulu. Acha mchezo huu.
Nimemsikiliza kwa MAKINI Spika ,akitutaka MIMI na 'CAG'kuhudhuria KAMATI ya Maadili ya BUNGE.NITAHUDHURIA, lakini MSIMAMO Wangu kuhusu KAULI ya CAG uko palepale! Najua Nitaadhibiwa TENA ! Niko Tayari !https://t.co/cNGReXG8Zw
Drink water, workout, keep your life lowkey, read books, pray, stay away from gossip, speak and think positive, mind your business and work towards your dreams.... Watch how your life becomes so much better ❤️
"Sijampa pole kwa sababu mie sio mnafiki. Huyu mtu anadhamiria kunitoa uhai, kisha leo nimpe pole kisa kafiwa? Actually I wish yeye ndo angetangulia kabla ya dadake. Yes, twachukiana kiasi hicho. It's all fair in war..."
Wakati mugabe yuko chini ya ulinzi wa jeshi la wanazimbabwe Zuma alimkaribisha kumpa HIFADHI, hayo Yalikuwa MADARAKA ya KULEVYA, "What goes around comes around".. https://t.co/m4pV1mxI20
AFRIKA KUSINI: Rais Jacob Zuma akihutubia taifa usiku huu ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake hiyo kufuatia shinikizo la chama chake kikimtaka aachie ngazi.
Ameliongoza Taifa hilo tangu mwaka 2009.
Mwanasiasa huyo anakabiliwa na kashfa lukuki za ufisadi.