Wakati kama nchi tukianza malengo ya DIRA 2050 kupigania pato la taifa la $ 1. Tril per year aisee kuna muda unachezewa hapa, Kitendo cha kubishania ishu ndogo kama ya Jezi hii inaonesha namna tulivyo nyuma KM nyingi na kuifikia malengo kwa hali hii labda tudouble hiyo miaka.
@mshambuliaji Uandishi garbage sana huu story haina taste, headline does not relate with the story daaaah safari ndefu mno sasa wale wadogodogo sijui hali itakuaje kama uandishi ndio huu
@mar3kani Kuna dem mmoja alinambia wamelipiwa na lishkaj flan SGR Go&Return ada ya usajil na wenzake 2 kutoka Dar kwenda Dom wakaenda ila sijamuona nimuulize kilichojiri huko
NB:Hao madem ni wanachuo
@TruthWatchDogTZ Dada amejitahidi kumeza Script huyu😂 Mwambieni hizi Kiki Premature za ninenteenth peusi kwa sasa zimeshapumbaa watu wana akili kishenzi now hawana muda na hizi nonesense za kizamani
@UrBoyMox@whizz_tzy Kwahyo Mbappé nae hatafunga sio mzee na tena umeweka nadhiri kabisa "ni lazima afunge" sawa hatukatai WTF Mbappé kesho j2 akafunga 2 halafu Messi akafunga goli 1?
Nakuaminia mkuu ww ni mtu mwenye akili sana lkn usiwe nropokaji kama Unce T