#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!
Unarudi zako nyumbani umechoka unamkuta dada wa kazi anamsaidia mwanao homework, unawasalimia halafu unaingia zako chumbani, umetulia mara unamsikia dada wa kazi anamwambia mwanao "C for snakeee" ๐๐๐๐
@IAMartin_ 1.Sifa ya macho kuona, yaani kutazama kinacho onekana.
2.Ila sio kila unacho kiona ukadhani kupata inawezekana.
3.Nyumbani kuna msichana, njiani utaona wengi wasichana
4.Bora kuishia kutazama, kuliko kujifanya unaweza sana